Rais William Samoei Ruto amesema usajili wa makurutu watakaojiunga na huduma ya vijana kwa taifa NYS utaongezeka kutoka vijana 18,000 hadi 100,000 katika miaka mitatu ijayo....
Tume ya uchaguzi nchini Tanzania, INEC imemuidhinisha rasmi Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania, na mgombea mwenza Emmanuel Nchimbi kuwa wagombea wa Urais kwa chama cha...
Waziri wa Elimu Julius Migos Ogamba alisema serikali ya kitaifa imejiandaa kikamilifu kwa mpito wa wanafunzi kuingia Sekondari ya Juu (Junior Secondary), Januari 2026. Akizungumza katika...
Familia ya rais mstaafu Uhuru Kenyatta imetoa shilingi milioni 1.5 kusaidia ujenzi wa kituo cha uchungaji cha Stella Maris Pastoral Center katika eneo la Watamu katika...
Serikali imezindua mpango wa kuwasajili wakulima zaidi ya laki tano kupitia mfumo wa usimamizi wa kilimo. Katibu katika idara ya Kilimo nchini Kiprono Runo alisema kuwa...