Kiungo mshambuliaji wa Paris Saint-Germain (PSG), Marco Asensio, amejiunga na klabu ya Uturuki ya Fenerbahce siku ya mwisho ya dirisha la usajili, vilabu vyote viwili vilithibitisha...
Mshambulizi wa Uingereza Jamie Vardy, ambaye mabao yake yaliipeleka Leicester City kutwaa taji la kipekee la Ligi Kuu ya England mwaka 2016, amejiunga na kikosi kipya...
Kilabu ya Napoli hapo jana imetangaza kumsajili mshambuliaji Rasmus Hojlund kwa mkopo kutoka kilabu ya Manchester United ikiwa na wajibu wa kumnunua kwa mkataba wa kudumu,...
Kocha mkuu wa Harambee Stars, Benni McCarthy, ameepuka kujibu moja kwa moja maswali kuhusu kuachwa kwa Austin Odhiambo kwenye kikosi cha Kenya kitakachocheza mechi za kufuzu...
Washirika kutoka mataifa saba duniani wanatarajiwa kushiriki katika maonyesho ya kimataifa ya kilimo ya mwaka 2025 yanayofanyika eneo la Mkomani kaunti ya Mombasa. Mwenyekiti wa maonyesho...