Kocha mkuu wa Uingereza, Thomas Tuchel, amesisitiza kwamba hakuna “laana” inayoisumbua timu yake anapoangazia kukatiza ukame wa karibu miaka 60 bila kushinda taji kubwa la kimataifa....
Mshambulizi Lionel Messi alifunga mara mbili kwa Argentina katika mazingira ya kihisia jijini Buenos Aires siku ya Alhamisi, huku Uruguay, Colombia na Paraguay wakijiunga na mabingwa...
Mahakama ya Kilifi imetoa hukumu kwa wanaume 6 wanaokabiliwa na mashtaka ya unajisi. Hakimu wa Mahakama hiyo Ivy Wasike alimhukumu Lucky Munga na Hassan Daniel kifungo...
Naibu gavana wa kaunti ya Mombasa Francis Thoya ametoa changamoto kwa serikali kuu kuongeza mgao wa fedha ili kufanikisha utaoji wa huduma za afya. Akizungumza katika...
Wawekezaji wa ndani na nje ya nchi wanaendelea kuonyesha nia ya kuekeza katika mradi wa kiuchumi wa dongo kundu kaunti ya Mombasa. Mradi huo unaotarajiwa kuongeza...