Mwanahabari na mke wa Presenter Kai, Diana Yegon, ameibua gumzo mtandaoni baada ya kuandika ujumbe wa ucheshi uliolenga wanawake wote wanaoitwa Diana. Kupitia ukurasa wake wa...
Kilbu ya KCB mchezo wa raga waliendelea kuthibitisha ubabe wao katika National Sevens Circuit baada ya kutwaa taji la Kabeberi 7s kwa ushindi wa alama 20–10...
Kanisa la Kianglikana nchini limejitokeza na kukemea kukithiri kwa sakata za ufisadi nchini katika Wizara mbalimbali likisema tabia hiyo inashusha hadhi ya taifa la Kenya. Kanisa...
Mwanamuziki wa Kenya, Diana Marua, maarufu kama Diana B, amewataka mashabiki wake kuacha wivu na kushirikiana katika kuusukuma wimbo wake mpya Bibi ya Tajiri hadi kufikisha...
Serikali imewaonya watu wanaomiliki mashamba ya shule sawa na wenye nia ya kunyakua ardhi za taasisi za elimu kwamba watakabiliwa kisheria. Waziri wa elimu Julius Migos...