Waziri wa Usalama Kipchumba Murkomen ameonya kuhusu kuongezeka kwa magenge ya wahalifu nchini. Akizungumza katika kongamano la Jukwaa la Usalama kaunti ya Vihiga, Waziri Murkomen alitoa...
Idara ya usalama kaunti ya Kilifi imeripoti kupungua kwa visa vya mauaji ya wazee, hatua inayotajwa kuwa mafanikio makubwa katika juhudi za kukomesha uhalifu huo unaochochewa...
Mwenyekiti wa tume huru ya uchaguzi na mipaka nchini IEBC, Erastus Ethekon, amesisitiza umuhimu wa usalama katika maandalizi ya uchaguzi mkuu ujao wa mwaka 2027. Akizungumza...
Bingwa taji la US Open mchezo wa tenisi Jannik Sinner anatarajia mechi ya kipekee na “maalum” atakapokutana na mchezaji wa pili duniani Carlos Alcaraz raia wa...
Ndoto ya Harambee Stars ya kufuzu kwa Kombe la Dunia la FIFA 2026 ilizimwa rasmi hapo jana baada ya kuchapwa mabao 3-1 na The Scorpions ya...