Baadhi ya viongozi wa jamii ya mijikenda eneo la pwani wamekosoa mpangilio wa sherehe za kitamaduni za jamii ya kimijikenda maarufu chenda chenda zilizofanyika jana Kaunti...
Spika wa bunge la seneti Amason Kingi ameagiza asasi za usalama kufanya uchunguzi wa haraka kufuatia kifo cha wakili mmoja jijini Nairobi Mathew Kyalo Mbobu. Kingi...
Tume ya kitaifa ya huduma za polisi (NPSC) imehakikishia wakenya kwamba zoezi lijalo la kuwaajiri maafisa wa polisi litakuwa wazi, shirikishi, na lisilo na utovu wa...
Timu ya soka Harambee Stars hatimaye wamehitimisha kusubiri ushindi wa nyumbani kwenye kufuzu Kombe la Dunia 2026 baada ya kushinda kwa kishindo cha mabao 5-0 dhidi...
Mkufunzi Nuno Espírito Santo ametimuliwa na Nottingham Forest baada ya michezo mitatu pekee ya msimu mpya. Kocha huyo kutoka Ureno aliiongoza Forest kufuzu Ulaya msimu uliopita...