Timu ya taifa la Madagascar ikiwa na wachezaji kumi ilitoa ushindi wa kusisimua kwa bao la muda wa nyongeza na kuilaza Sudan 1-0 jijini Dar es...
Kilabu ya PSG ya Ufaransa imeripotiwa kupunguza ada waliyotarajia kwa kipa wa Kiitaliano Gianluigi Donnarumma kufuatia nia kutoka kwa kilabu ya Manchester City. Donnarumma, mwenye umri...
Timu ya taifa la Sudan iliingia kwenye Mashindano ya Mataifa ya Afrika (CHAN) ikiwa haikutarajiwa kabisa kufika mbali kwani ligi yake ya nyumbani karibu haipo katika...
Mwakilishi wadi ya Malindi mjini Rashid Odhiambo amekiri kuwepo kwa mvurugiko mkubwa ndani ya chama cha ODM katika kaunti ya Kilifi. Akizungumza katika kipindi cha Coco...
Ubabe wa mpira wa miguu kati ya Kenya na Tanzania inatarajiwa kuchukua mwelekeo mpya mwezi ujao wakati mabingwa wa Ligi Kuu ya Tanzania, Yanga SC, watakapowaalika...