Kwa zaidi ya miaka 45, Gould David alikuwa uso wa imani ya Kikristo nchini Australia. Akiwa padri wa Kanisa, alihubiri, aliongoza ibada, na akahudumia maelfu ya...
Mahakama ya Kilifi imetoa agizo la kukamatwa kwa Wanaume wawili walioshtakiwa kwa kosa la unajisi wa mtoto wa umri wa miaka 14. Akitoa agizo hilo, Hakimu...
Mchekeshaji aliyegeuka kuwa mwanaharakati, Eric Omondi, amefichua njama ya mwanamke aliyedai kutimuliwa na mumewe ili kuomba msaada wa kifedha kutoka kwa wahisani. Mapema wiki hii, video...
Kenya inalenga kubadilisha uhusiano wake wa kiuchumi na Japan kutoka utegemezi wa misaada katika usawa wa kibiashara, mtaji na ubinafsi pamoja na ubunifu. Rais William Ruto...
Senata wa kaunti ya Mombasa Mohammed Faki ameitaka idara ya mahakama kuanzisha rasmi huduma za mahakama ya kadhi katika mahakama ya Shanzu kama njia moja ya...