Mshambulizi wa Arsenal Kai Havertz anaripotiwa kupata tena pigo la majeraha baada ya kuumia goti, jambo lililomfanya kukosa mazoezi ya Arsenal kwenye uwanja wa Emirates mapema...
Mbunge wa Changamwe Omar Mwinyi amewakosoa magavana nchini, akisema wameshindwa kuwajibikia majukumu yao ipasavyo katika kaunti zao. Mwinyi ambaye alikuwa akizungumza katika eneo la Portreiz eneo...
Wachezaji zaidi ya 286 wa gofu walijitokeza katika Klabu ya Gofu ya Muthaiga wikendi kushiriki makala ya pili la Amerucan Golf Day, tukio la kipekee linalochanganya...
Mashindano ya TotalEnergies African Nations Championship (CHAN) 2024 yameingia hatua ya robo fainali baada ya mechi za mwisho za makundi kukamilika hapo jana kwa msisimko mkubwa....
Kamati ya bunge la seneti kuhusu masuala ya Ardhi, Mazingira na maliasili imeilaumu Wizara ya Ardhi nchini kwa kutowasilisha stakabadhi za ardhi za kaunti ya Kilifi...