Bingwa wa Olimpiki wa mbio za mita 800 kutoka Kenya, Emmanuel Wanyonyi, ataongoza kikosi thabiti cha Wakenya katika mashindano ya Athletissima Diamond League yatakayofanyika Lausanne, Uswizi,...
Kilabu ya Borussia Dortmund ya Ujerumani imethibitisha kwamba mshambuliaji wa taifa la Ivory Coast Sebastien Haller amejiunga na klabu ya Uholanzi, Utrecht, kwa mkataba wa kudumu....
Mchezaji Tenesi Nambari moja duniani Jannik Sinner na mpinzani wake mkali Carlos Alcaraz watakutana tena katika fainali kubwa kwa mara ya nne msimu huu baada ya...
Mshambulizi wa Brazil Neymar alia baada ya Santos kuchapwa mabao 6–0 nyumbani na Vasco da Gama. Hasara hiyo ndiyo kubwa zaidi katika maisha ya Neymar ya...
Rais William Samoei Ruto pamoja na Kinara wa chama cha ODM Raila Odinga wameongoza kikao cha pamoja cha wabunge wa chama ODM na UDA katika eneo...