Timu ya taifa ya Nigeria, maarufu kama Super Eagles, imeaga mashindano ya CHAN baada ya kuchapwa mabao 4–0 na Sudan katika mechi ya pili ya Kundi...
Kongamana la 9 la magavana nchini limeingia siku yake ya pili Agosti 13, 2025 katika kaunti ya Homabay ambapo masuala mbalimbali yanayohusu ugatuzi yanatarajiwa kujadiliwa na...
Mshambulizi wa timu ya taifa ya Uswidi, Alexander Isak, ameieleza klabu ya Newcastle United kuwa hatacheza tena kwao katika taaluma yake ya soka. Isak ameeleza wazi...
Timu ya taifa ya Uganda, maarufu kama Uganda Cranes, imekwea kileleni mwa Kundi C baada ya ushindi wa mabao 2–1 dhidi ya Niger jana kwenye uwanja...
Wito umetolewa kwa serikali kuu kufufua viwanda vilivyofungwa katika kaunti ya kilifi ili kubuni nafasi zaidi za ajira. Mbunge wa Kaloleni Paul Katana, alisema kuna viwanda...