Shirikisho la soka Afrika (CAF) limetoa orodha ya vilabu bora Afrika kwa viwango vya CAF ambapo Klabu ya Simba Sc ya Tanzania imeendelea kusalia kwenye 10...
Waziri wa afya nchini Aden Duale amethibitisha kusitishwa kwa shughuli za vituo 40 vya afya ambavyo vilibainika kujihusisha na udanganyifu dhidi ya mamlaka ya bima ya...
Mkufunzi wa timu ya soka Harambee Stars ya Benni Mccarthy amesema kwamba mechi ya jana kati ya vijana wake na Angola ulikua ni mechi mgumu zaidi...
Kama njia mojawapo ya kukabiliana na ukosefu wa ajira miongoni mwa vijana nchini, vijana 1,500 kutoka kaunti ya Kwale wamepokea mafunzo ya miaka miwili ya kilimo...
Idara ya biashara na viwanda kaunti ya kilifi imesema kuwa mpango wa ujenzi wa soko jipya la kisasa mjini Malindi ni hatua itakayopiga jeki sekta ya...