Wafanyabiashara katika soko la Mariakani kaunti ya Kilifi wamelalamikia visa vya wizi wa mali zao unaotekelezwa ndani ya soko hilo. Walidai kuendelea kukadiria hasara kutokana na...
Jumla ya walimu 294 wa shule za chekechea kaunti ya Taita Taveta wamepandishwa vyeo kulingana na kiwango chao cha masomo yao. Akiwahutubia walimu hao gavana wa...
Mkutano wa ukusanyaji maoni ya umma kaunti ya Kwale kuhusiana na pendekezo la kuongezwa kwa ada za kuingia katika mbuga za wanyamapori nchini uliibua hisia mseto...
Takriban maafisa wanane wa polisi wamejeruhiwa kwenye shambulizi la kigaidi ambapo gari walilokuwa wakisafiria kukanyaga kilipuzi katika barabara ya Banabs-Yumbis kaunti ya Garissa. Duru kutoka idara...
Mwenyekiti wa Tume ya uchaguzi na mipaka nchini IEBC Erastus Ethekon ametangaza mipango ya kushauriana na mwanasheria mkuu wa serikali ya Kenya ili kufafanua kipi kinajumuisha...