Marekani imetangaza vikwazo vipya vya kibiashara kwa bidhaa hasa kwa zaidi ya mataifa 90 baada ya kukamilika kwa makataa ya tarehe 1 Agosti ya kuandikisha mikataba...
Katibu katika idara ya vijana na uchumi bunifu nchini Fikirini Jacobs amesema serikali imeweka mikakati kabambe ya kubuni ajira kwa vijana kupitia miradi ya kibiashara. Akizungumza...
Chanjo za maradhi ya kisonono zitapatikana kwa wingi kuanzia Agosti 11, 2025 katika kliniki za afya Uingereza, katika jitihada za kukabiliana na viwango vya kuvunja rekodi...
Klabu ya Manchester United imewasilisha rasmi ofa kwa klabu ya RB Leipzig kwa ajili ya kumsajili mshambuliaji Benjamin Šeško. Ofa hiyo inakadiriwa kufikia jumla ya Euro...
Timu ya taifa ya Uganda Cranes yaanza vibaya kipute cha CHAN baada ya kutiwa darasani, kabila ya kuchabangwa magoli 3-0 na The Desert foxes mechi ya...