Idara ya usalama katika kaunti ya Kwale imefichua maabara ya siri ya dawa za kulevya katika kijiji cha Mwabungo eneo la Ukunda. Kulingana na vyanzo vya...
Bunge la kaunti ya Kilifi linarejelea vikao vyake Agosti 4, 2025 baada ya kuahirishwa kwa mda wa majuma mawili. Hii ni baada ya bunge hilo mnamo...
Timu ya Taifa ya Kenya (Harambee Stars) imechukua alama zote tatu kufuatia ushindi wa 1-0 dhidi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kwenye mchezo wa kwanza...
Daktari wa magonjwa ya kuambukiza katika hospitali ya rufaa ya Moi mjini Voi katika kaunti ya Taita Taveta Urbanius Kioko amewataka wenyeji wa kaunti hiyo kuzingatia...
Serikali ya Kenya imeiandikia barua jumuiya ya afrika mashariki kupinga vikwazo vilivyowekwa na Tanzania kuhusu kufanya biashara katika taifa hilo. Katibu mkuu katika idara ya EAC...