SIKU 3 ZIMESALIA KUNGOA NANGA KOMBE LA CHAN: Waziri wa Michezo, Salim Mvurya, pamoja na Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya CHAN, Nicholas Musonye, wamefanya ukaguzi...
Idara ya upelelezi wa jinai DCI imepewa ruhusa na mahakama ya Malindi, kuanza kufukua makaburi yaliyotambuliwa katika kijiji cha Kwa Bi Nzaro kilomita sita kutoka eneo...
Klabu ya Bayern Munich, inayoshiriki Ligi Kuu ya Bundesliga nchini Ujerumani, imetangaza kumsajili winga wa Colombia, Luis Díaz. Hatua hii imekuja baada ya Bayern Munich na...
Wafanyibiashara wa kuuza sare za shule mjini Kilifi wamesema kuwa biashara hiyo iko chini msimu huu ikilinganishwa na wakati ambapo wanafunzi wakifungua shule mwezi wa kwanza....
Ukosefu wa viwanda katika kaunti ya Kilifi umetajwa kuzorotesha uchumi wa kaunti hiyo. Kulingana na wafanyibiashara mjini Kilifi kaunti ya Kilifi, biashara zimezorota kutokana na uhaba...