Zaidi ya familia elfu 5 eneo la Matuga kaunti ya Kwale zinahofia kufurushwa katika ardhi zao yenye zaidi ya ekari elfu 6. Ardhi hizo zilikamilisha mda...
Mshauri wa rais katika maswala ya kisiasa Karisa Nzai amemkosoa kiongozi wa chama cha DCP Rigathi Gachagua kwa madaia ya kuendeleza siasa za ukabila. Akizumgumza katika...
Mwakilishi wadi ya Ganze Karisa Ngirani anadai baadhi ya wadi ndani ya eneo bunge la Ganze zimekuwa zikitelekezwa katika maswala ya ugavi wa raslimali katika kaunti...
Klabu ya KCB ndiyo mabingwa wa michuano ya Raga ya wachezaji saba kila upande ya Driftwood 7s iliyofanyika mjini Mombasa. Hii ni baada ya kuibuka na...
Timu ya Taifa ya Morocco, maarufu kama The Atlas Lions, imewasili jijini Nairobi tayari kwa mashindano ya CHAN yatakayofanyika mwezi ujao katika viwanja vya Nyayo na...