Serikali ya kaunti ya Kilifi kwa ushirikiano na Wizara ya Madini imesitisha rasmi shughuli zote za uchimbaji madini zinazotekelezwa na kampuni ya Simba Cement eneo la...
Huduma ya kitaifa ya polisi nchini NPS iliagizwa kukabidhi orodha ya malipo ya polisi na kazi zote zinazohusiana na raslimali za umma kwa Tume ya kitaifa...
Mashahidi wawili wa umri mdogo wameelezea Mahakama ya Mombasa ukatili waliopitia mikononi mwa wazazi wao kufuata maagizo ya mchungaji Paul Mackenzie katika kesi ya mauaji inayomkabili...
Mabingwa wa Bara Afrika kwa soka la akina dada Super Falcons wamevuna vinono kutoka kwa rais wa taifa hilo punde tu baada ya kutua kutoka mjini...
SIKU 4 ZIMESALIA KUNGOA NANGA KOMBE LA CHAN Timu ya Taifa Ya Morocco marufu ‘Atlas Lions ‘ wamefanya mazoezi Yao ya kwanza Ugani Nyayo hapo jana...