Mwili wa mvuvi Hudhefa Laly aliyepotea baharini huko Watamu eneo bunge la Kilifi Kaskazini Kaunti ya Kilifi akiwa na ndugu yake Athman Laly umepatikana eneo la...
Wizara ya afya nchini imesema kaunti ya Mombasa inaongoza kwa visa vya maambukizi ya ugonjwa wa Mpox. Kwa mujibu wa mkurugenzi mkuu wa idara ya afya...
Jamii ya wavuvi katika eneo la Watamu eneo bunge la Kilifi Kaskazini inaiomba serikali ya kaunti ya Kilifi na ile ya kitaifa kununua boti za uokozi...
Seneta mteule katika kaunti ya Mombasa Miraj Abdillahi ameunga mkono mpango wa gavana wa kaunti hiyo Abdulswamad Shariff Nassir wa kuzindua vitambulisho maalumu kwa wenyeji wa...
Waumini wa kanisa la Wesley Methodist kaunti ya Mombasa wametoa wito kwa usimamizi wa kanisa hilo kutafuta suluhu la kudumu kutokana na mvutano ambao umekuwa ukishuhudiwa...