Kamati ya afya ya bunge la seneti sasa imetoa wito kwa serikali kuu kuiondoa miili zaidi ya 400 ambayo inaendelea kuhifadhiwa katika makafani ya hospitali ya...
Rais William Ruto amemteua Amani Yuda Komora kuwa Mwenyekiti wa Tume ya kitaifa ya Huduma ya Polisi (NPSC) na Angeline Yiamiton Siparo kuwa mwanachama. Uteuzi huo...
Muunda maudhui maarufu Pwani, Nyevu Fondo, amefunguka sababu zake za kukataa pesa za mchango wa matibabu zilizochangishwa na Presenter Jakki. Presenter Jakki, bila kumjulisha Nyevu, alianzisha...
Chama cha ODM kimepinga barua inayosambaa mitandaoni ikidai gavana wa kaunti ya Siaya James Orango amejiuzulu wadhifa wake. Barua hiyo ilidaiwa kutoka kwa gavana Orengo na kuelekezwa kwa spika...
Manchester United imetwaa ubingwa wa kombe la ‘Premier League Summer Series’ kufuatia sare ya 2-2 dhidi ya Everton katika dimba la Mercedes-Benz, Atlanta, Georgia Marekani. Michuano...