Timu ya taifa Stars ya Tanzania imeweka guu moja kuingia kwenye hatua ya robo fainali taji la CHAN. Hii ni baada ya ushindi wa pili mfululizo...
Baadhi ya vijana kaunti ya Kilifi waliohudhuria kongamano la kuadhimisha wiki ya vijana lililofanyika katika chuo cha Pwani Jumatano wameitaka serikali kuendeleza mikakati ya kuwainua vijana...
Katibu katika Wizara ya vijana na uchumi bunifu nchini Fikirini Jacobs amesema juma la vijana limebuniwa ili kutoa nafasi zaidi kwa vijana wengi kuwasilisha matakwa yao...
Wadau wa sekta ya utalii kaunti ya Mombasa wamepinga vikali pendekezo la shirika la huduma kwa wanyamapori nchini (KWS) la kutaka kuongeza ada za kuingia na...
Wachuuzi wa zao la nazi eneo la pwani wanasema kuwa biashara hiyo imeimarika msimu huu ikilinganishwa na hapo awali. Kulingana na wachuuzi wa nazi kutoka soko...