Muungano wa madaktari nchini KMPDU tawi la pwani umeonya madaktari wazembe ukisema hautamtetea daktari yeyote atakayepatikana anakwepa majukumu yake. Hii ni baada ya taarifa ya kamati...
Rais William Ruto amesema atawasilisha bungeni pendekezo la kupunguzwa kwa ushuru wa pikipiki ili kuwawezesha vijana kote nchini kuwa na uwezo wa kumiliki pikipiki na kujiimarisha...
Mamlaka ya bandari nchini KPA imeanzisha zoezi la kusafisha maeneo ya kuhifadhi mizigo katika bandari ya Mombasa katika juhudi za kuboresha utoaji wa huduma na kuhakikisha...
Waziri wa Masuala ya kigeni Musalia Mudavadi amepuuzilia mbali madai kuwa uhusiano kati ya Kenya na Marekani unayumba. Hii ni kufuatia mswada uliowasilishwa katika bunge la...
Timu ya taifa ya soka, Harambee Stars, itashuka dimbani jioni ya leo kuwania alama tatu muhimu dhidi ya Angola, katika mechi yao ya pili ya mashindano...