Kikosi cha voliboli cha wanawake chipukizi wasiozidi umri wa miaka 20, maarufu kama Junior Strikers, kimetwaa ubingwa wa Mashindano ya Afrika kwa Chipukizi yaliyokamilika jana mjini...
Wavuvi eneo bunge la Likoni, kaunti ya Mombasa, wameitaka halmashauri ya bandari nchini (KPA) kusitisha mara moja shughuli za kumwaga tope maeneo ya bahari wanakofanyia shughuli...
Wajumbe zaidi ya elfu 30 wanahudhuria Kongamano la 9 la Ugatuzi la mwaka wa 2025 katika kaunti ya Homabay linaloanza rasmi Agosti 12, 2025. Akihutubia Wanahabari...
Shirika la wanawake mawakili nchini (FIDA) limekemea vikali ongezeko la visa vya dhulma za wanawake kwenye mitandao ya kijamii. Mkurugenzi mtendaji wa shirika hilo Anne Ireri...
Mamlaka ya bandari ya nchini (KPA) imesema itaendelea kuekeza katika miradi muhimu ya miundombinu ili kukidhi ongezeko la mahitaji ya usafirishaji wa mizigo kupitia reli, baharini...