Mili mingine minne imepatikana ikiwa imeoza kiasi cha kutotambulika katika msitu wa Shakahola karibu na kijiji cha Binzaro eneo bunge la Magarini kaunti ya Kilifi. Mili...
Davido, mmoja wa wanamuziki wakubwa wa Nigeria, ameonesha wazi kwamba furaha na mapenzi kwake hayawekewi kikomo cha fedha. Usiku wa kuamkia leo, msanii huyo alishangaza na kufurahisha...
Rais William Ruto ametangaza kuwa kila mchezaji wa timu ya taifa atapokea shilingi milioni 2.5 kama marupurupu endapo wataibuka na ushindi kwenye mechi ya mwisho dhidi...
Mabondia wawili nchini Japan wamefariki dunia baada ya kupata majeraha makubwa katika mapigano mawili tofauti yaliyofanyika jijini Tokyo wikendi hii. Bondia wa uzani wa Super Featherweight,...
Kilabu ya Crystal Palace ndio mabingwa wa taji la Ngao ya Jamii marufu kama FA Cup Community Shield mechi iliopigwa hapo jana ugani Wembley. Haya yanajiri...