Wanaharakati wa kutetea haki za kibinadamu kaunti ya Mombasa wamefanya maandamano ya amani katikati mwa jiji la Mombasa wakimtaka Naibu Inspekta jenerali wa Polisi Eliud Lagat...
Maafisa wa polisi wa kupambana na ghasia siku ya Jumanne 17, Juni 2025 walimfyatulia risasi mchuuzi mmoja aliyekuwa akiuza barakoa karibu na barabara ya Moi katikati...
Maandamano ya vijana wa Gen Z jijini Nairobi wanaoshinikiza Naibu Inspekta jenerali wa polisi Eliud Lagat kujiuzulu yalikumbwa na changamoto baada kundi la vijana wahuni kuingilia...
Rais William Ruto ametia saini kuwa sheria mswada wa kupambana na utakatishaji Fedha na kufanyia marekebisho sheria ya kupambana na ufadhili wa ugaidi ya 2025. Mswada...
Mwanasiasa na Mfanyibiashara Lung’anzi Chai amelalamikia huduma duni mashinani zinazotolewa na viongozi walio mamlakani kaunti ya Kwale, akisema wakaazi wengi wamekuwa wakihangaika kwa kukosa huduma bora....
Serikali ya kitaifa imezindua mpango wa msaada wa shilingi milioni 60 kwa wakazi wa Tana River walioathiriwa na mafuriko ya kudumu. Mpango huo ulizinduliwa na katibu...
Waziri wa usalama wa ndani Kipchumba Murkomen ametoa taarifa kuhusu hatua ambazo zimepigwa na wizara hiyo katika kuimarisha usalama. Akizungumza katika jumba la Harambee jijini Nairobi,...
Familia ya Mwanamme aliyezama baharini katika kaunti ya Kilifi siku kadhaa zilizopita, inahimiza serikali kuongeza juhudi na kuwapa msaada wa kumtafuta jamaa wao. Ikiongozwa na Omar...
Gavana wa kaunti ya Mombasa, Abdulswamad Shariff Nassir amesema serikali ya kaunti ya Mombasa wametenga shilingi milioni 80 kugharamia sehemu ya matibabu ya wakaazi ambao hutibiwa...
Naibu gavana kaunti ya Kilifi Flora Mbetsa Chibule, amependekeza adhabu kali kwa watu wanaotekeleza visa vya dhulma za kijinsia katika jamii. Chibule alisema visa vya dhulma...