Ripoti iliyotolewa hivi karibu na Shirika la Chakula duniani WFP ilionyesha kwamba zaidi ya wakimbizi nusu milioni wanaoishi katika kambi za wakimbizi za Kakuma na Dadaab...
Serikali imepiga marufuku uagizaji wa dawa za Antibiotiki na kusafirishwa na wahudumu wa bodaboda katika makaazi ya umma, ikisema mwenendo huo hautakubalika. Waziri wa Afya nchini...
Serikali ya kaunti ya Mombasa imeapisha rasmi bodi ya kwanza ya hazina ya fedha ya Mombasa, hatua inayoweka msingi wa utekelezaji wa sheria ya hazina hiyo...
Maafisa wa upelelezi wa makosa ya jinai nchini (DCI) wamemtia mbaroni mshukiwa mmoja katika eneo la Kazandani, kaunti ya Mombasa kwa tuhuma za matumizi yasiyofaa ya...
Mkuu wa mawaziri nchini Musalia Mudavadi amewataka wakenya kuzingatia taratibu zilizotolewa na Wizara ya afya nchini kufuatia mlipuko wa ugonjwa wa virusi vya Ebola katika nchi...
Maafisa wa Polisi katika kituo cha Mtwapa katika kaunti ya Kilifi wamefanikiwa kumkamata mshukiwa mmoja wa wizi na kunasa mali mbalimbali zinazoshukiwa kuibwa. Kukamatwa kwa mshukiwa...
Mashirika mbali mbali ya kuangazia maslahi ya kijamii wameendelea kukongamana mjini Malindi katika kaunti ya Kilifi kujadili masuala ya haki na sheria miongoni mwa makundi tofauti...
Wakaazi pamoja na Wanaharakati wa kutetea haki za binadamu katika Kaunti ya Kilifi wameandamana wakitaka idara ya usalama kuharakisha uchunguzi kuhusu mauaji ya kinyama ya mtoto...
Bunge la kitaifa linatarajiwa kujadili hoja ya makadirio ya bajeti ya kitaifa ya mwaka wa 2026/2027 ya shilingi trilioni 4.79. Kiongozi wa wengi katika bunge la...
Bwiwi la simanzi limeghubika wakaazi wa kijiji cha Kwa Nzai eneo la Mwezang’ombe kaunti ya Kilifi mapema leo baada ya msichana mwenye umri wa miaka 7...