Tume huru ya uchaguzi na mipaka nchini IEBC imesema kufikia sasa, imesajili wakenya 250, 391 na kufikia idada ya wakenya waliosajili kuwa 22,352,923. Kamishna wa Tume...
Idara ya hali ya hewa nchini imeonya kuwa mvua za wastani hadi mvua nyingi zinatarajiwa kunyesha katika baadhi ya maeneo ya Nairobi na kaunti jirani katika...
Huku mgomo wa wauguzi wa kaunti ya Kilifi ukiingia siku yake ya pili, na kusambaratisha utaoji wa huduma za afya, Serikali ya kaunti hiyo imejitokeza na...
Ulimwengu umeadhimisha siku ya kimatiafa ya Figo dunianihuku ikibainika kuwa gharama kubwa za matibabu pamoja na uhaba wa dawa katika hospitali za umma nchini ni miongoni...
Mwenyekiti wa Bodi ya hazina ya michezo, sanaa na maendeleo Wakili George Kithi amesisitiza umuhimu wa viongozi kuwaelimishwa wananchi kuhusu utekelezaji wa miradi ya maendeleo inayotekelezwa...