Mwanariadha Peter Luftensteiner kutoka Austria na Genesis Carolina Ruiz Volcan wa Venezuela walitawala katika makundi ya wachezaji wa Viwango vya juu (elite) wakati Kombe la Afrika...
Mwanariadha nyota wa Kenya katika mchezo wa duathlon, Joseph Okal, alionekana mwenye furaha baada ya kuvuka mstari wa mwisho akiwa wa kwanza katika mbio za wanaume...
Rais William Ruto amevunja kimya chake na kuweka wazi kuhusu mkutano wa faraja uliandaliwa kati yake na Mwenyekiti wa chama cha KANU Gedion Moi katika Ikulu...
Serikali imetangaza kwamba zaidi ya Vitambulisho vya kitaifa elfu 400 kote nchini havijachukuliwa na wenyewe licha ya kutuma maombi ya kutafuta stakabadhi hiyo muhimu ya kitaifa....
Kikosi cha Wanariadha 20 wa Kenya kiko tayari kwa changamoto ya Kilifi huku wapinzani wa bara wakisaka pointi za viwango Pwani ya Kenya itageuka tena kuwa...