Waziri wa Elimu nchini Julius Migos amesema ana matumaini kwamba mgomo wa Wahadhiri wa vyuo vikuu vya umma kote nchini utasitishwa hivi karibu. Waziri Migosi alisema...
Zaidi ya wajumbe 50 kutoka mataifa mbalimbali ulimwenguni walikongamana jijini Mombasa kuangazia masuala mbalimbali ikiwemo uchumi samawati, Uvumbuzi na jinsi ya kulinda mazingira ya bahari katika...
Timu ya taifa ya hoki ya wanaume ya Kenya, Chui, ilipata kichapo chake cha pili mfululizo katika mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (ACN) baada...
Timu ya Bandari Queens imeanza vyema msimu mpya wa Ligi ya NSL ya wanawake 2025–2026, baada ya kuicharaza Mombasa Olympic 4-0, kwenye mechi iliyopigwa katika uwanja...
Wakenya ambao bado hawajachukua Vitambulisho vya kitaifa wamehimizwa kutembelea Ofisi za Msajili wa Vitambulisho na vyeti vya kuzaliwa ili kutuma maombi ya kupata stakabadhi hiyo muhimu...