Klabu ya Soka ya Ulinzi Stars, inayoshiriki Ligi Kuu ya Kenya (KPL), Jumatatu ilimfuta kazi kocha mkuu Dunstan Nyaudo kufuatia msururu wa matokeo mabaya katika ligi...
Mamia ya mashabiki wa Klabu ya Soka ya Arsenal kutoka matawi manane nchini Kenya walitembelea Kang’o Kajaramogi katika Eneo Bunge la Bondo kuonyesha heshima zao kwa...
Kiongozi wa Chama Cha CHADEMA Tundu Lissu ametoa taarifa kuelezea hofu dhidi ya maisha yake,kufuatia hatua ya serikali na maafisa wa Gereza la Ukonga anakozuiliwa Lissu,...
Maelfu ya vijana kutoka wadi mbalimbali eneo bunge la Kilifi kazkazini kaunti ya Kilifi wamehudhuria zoezi la kutibitisha majina ya wale waliofaulu katika mradi wa NYOTA....
Tatizo la uhaba wa maji katika kaunti ya Kilifi limeendelea kugonga vichwa vya habari, bila ya kupata suluhu la tatizo hilo la mda mrefu. Hii ni...