Mashindano ya Kiambu Aquatics Annual Masters Swimming Championships yanatarajiwa kuibua msisimko mkubwa Jumamosi, Novemba 29, 2025. Wapenzi wa mchezo huo watakuwa wakielekeza macho yao yote katika...
Timu ya Harambee Starlets imefuzu rasmi kwa Kombe la Mataifa ya Afrika kwa Wanawake (WAFCON) 2026 baada ya kuishinda Gambia 1-0 katika mechi ya marudiano ya...
Mahakama ya Shanzu imeagiza washukiwa sita wa ulanguzi wa dawa ya kulevya aina ya Methamphetamine zenye thamani ya shilingi bilioni 8.2 kusalia korokoroni kwa siku 30...
Kocha mkuu wa Harambee Starlets, Beldine Odemba, amesema kuwa motisha ya kifedha iliyotolewa na Rais William Ruto itakuwa na mchango mkubwa wa kisaikolojia kwa wachezaji wake...
Rais William Ruto amepongeza klabu ya Nairobi United Football Club kwa kuandika historia kwa kufuzu kwa hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho la CAF (CAF...