Serikali imesema imeweka mipango ya kuimarisha ufugaji mashiani kupitia teknolojia ili kupiga jeki uchumi wa taifa. Akizungumza nchini Qatar rais Wiliam Ruto alisema kuwa ufugaji ni...
Timu ya mpira wa kikapu ya wanawake ya Kenya Ports Authority (KPA) imeimarisha kikosi chake kuelekea mashindano ya kufuzu kwa Ligi ya Wanawake ya Mpira wa...
Ripoti ya waangalizi wa Umoja wa Afrika imesema uchaguzi wa Tanzania uliofanyika Oktoba 29, haukuzingatia viwango vya demokrasia na kanuni za kimataifa. Ujumbe huo ulieleza kwamba...
Shirikisho la Soka la Senegal (Senegal Football Federation) limethibitisha kwamba Simba wa Teranga watakabiliana na Harambee Stars katika mechi ya kirafiki ya kimataifa tarehe 18 Novemba...
Chama cha walimu wa shule za upili na vyuo vya kadri nchini, KUPPET, kimeitaka Tume ya huduma ya walimu nchini (TSC) kuwaajiri walimu wanagenzi hasa wale...