Argentina itakosa huduma za wachezaji watatu wa Atletico Madrid — Julian Alvarez, Nahuel Molina, na Giuliano Simeone — katika mechi ya kirafiki dhidi ya Angola siku...
Jannik Sinner raia wa Italia alianza vyema kampeni yake ya kutetea taji baada ya kumshinda kwa urahisi Mkanada Felix Auger-Aliassime kwa seti 2-0 katika michuano ya...
Kikundi cha kwanza cha wanariadha na maafisa wa Kenya kiko tayari kuondoka kuelekea Japan Jumanne hii kwa ajili ya Mashindano ya Majira ya Kiangazi ya Deaflympics...
Maafisa wa upelelezi eneo la Nyali, kaunti ya Mombasa, wamemkamata mwanamke anayedaiwa kupanga njama ya wizi dhidi ya mpenzi wake raia wa uingereza baada ya kumwalika...
Kipa wa timu ya taifa ya Ubelgiji, Thibaut Courtois, yuko mashakani kucheza mechi za kufuzu Kombe la Dunia dhidi ya Kazakhstan na Liechtenstein baada ya kuumia...