Wakulima wa mapapai kutoka eneo bunge la Ganze kaunti ya Kilifi wameitaka serikali ya kaunti kwa ushirikiano na serikali kuu kujenga viwanda ili kuwasaidia kuuza matunda...
Baada ya kushuhudiwa vurugu na uharibifu wa mali ya shule katika Shule ya upili ya wavulana ya Malindi, hali imerejea kama kawaida na wanafunzi wa kidato...
Mamlaka ya ukusanyaji ushuru nchini (KRA) kwa ushirikiano idara ya usalama imekamata shehena ya sigara haramu milioni 9.5 katika bandari ya Mombasa zilizokuwa zimefichwa ndani ya...
Bei za baadhi ya bidhaa humu nchini zinatarajiwa kupanda hata zaidi msimu huu ikilinganishwa na hapo awali. Wafanyibiashara wanaoagiza bidhaa kutoka nchi jirani Tanzania mjini Kilifi...
Serikali imesema imechukua hatua za dharura ili kuongeza ufanisi katika bandari ya Mombasa, kufuatia ongezeko kubwa la mizigo linalosababisha msongamano mkubwa wa meli bandarini humo. Ongezeko...