Mahakama ya Kilifi katika kaunti ya Kilifi inatarajiwa kutoa uamuzi wa dhamana kwa mshukiwa wa wizi wa kimabavu Joel Kalume Robert maarufu Kalume Diga. Hakimu wa...
Kituo cha redio cha COCO FM kimeng’aa katika tuzo za kila mwaka makala ya saba za Africa Champions Awards zilizoandaliwa jijini Mombasa. Katika tamasha ya tuzo...
Kaunti ya Kilifi ni moja wapo ya kaunti 47 zinazokabiliwa na changamoto za dhulma za kijinsia, mimba za utotoni, umaskini, mila na tamaduni potovu na mifumo...
Baraza la mawaziri nchini limeidhinisha kuanzishwa kwa ubalozi wa Kenya katika jiji la Vatican hatua inayolenga kuboresha ushirikiano wa kidiplomasia na Vatican. Taarifa ya baraza hilo...
Kamati ya kitaifa kuhusu tuzo za Jamhuri imempongeza Wakili George Kithi kwa kutambuliwa kama shujaa wa afya, haki na masuala yanayoathiri jamii kwenye tuzo za kitaifa...