Kocha wa Harambee Stars, Twalir Muhiddin, ametabiri pambano kali kati ya mahasimu wakubwa, Gor Mahia na AFC Leopards, watakaovaana katika dimba la Nyayo Stadium Jumapili hii....
Mahakama ya Kilifi imemhukumu kifungo cha miaka 7 gerezani mwanaume mmoja aliyepatikana na hatia kwa kesi ya biashara ya meno za ndovu baada ya uchunguzi na...
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amependekeza kupunguzwa kwa bajeti ya umoja huo ya mwaka ujao kwa dola milioni 577, hatua ambayo itapunguza asilimia...
Viongozi wa Chama cha ODM wametaka ajenda 10 zilizotiwa saini kati ya Rais William Ruto na Hayati Raila Odinga kutekelezwa kikamilifu kabla ya uchaguzi mkuu wa...
Rais William Ruto amevunja kimya chake kuhusu hatamu ya uongozi na kuwakosoa wale wanaoshinikiza kuendelea kusalia madarakani kwa miaka 20 licha ya Katiba ya Kenya kuweka...