Mashirika ya kijamii eneo la Pwani yameingia katika mkataba wa makubaliano wa miaka 3 na kamati ya uwajibikaji Mombasa (MAC) unaolenga kuimarisha uwajibikaji, uwazi, na utetezi...
Serikali ya Marekani imetoa orodha ya wakenya 15 ambao watafurushwa nchini humo. Wakenya hawa ni wale waliokabiliwa na kesi mbalimbali ikiwemo wizi wa mabavu, ulanguzi wa...
Gavana wa kaunti ya Kilifi Gedion Mung’aro ametoa hutuba kuhusu mustakabili wa kaunti akiangazia masuala mbalimbali, huku suala la afya likipewa kipau mbele. Hutuba hiyo iliyodumu...
Maafisa wa upelelezi wa makosa ya jinai DCI eneo la Nyali kaunti ya Mombasa wamemkamata mshukiwa wa utapeli anayedaiwa kuwalaghai wageni wanaotafta nyumba za kukodisha kupitia...
Wamiliki hoteli zilizofungwa kaunti ya Kilifi wameshinikizwa kuhakikisha wanaziuza kwa wawekezaji wengine iwapo wameshindwa kurejesha huduma katika hoteli hizo. Akizungumza na vyombo vya habari gavana wa kaunti...