Mahakama ya kuu jijini Nairobi imesikiliza kesi ya ufisadi inayomkabili aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya kitaifa ya Ardhi (NLC), Prof Mohammad Swazuri, pamoja na washukiwa wengine...
Rais William Ruto amewaagiza wanafunzi wote wa gredi ya 10 ambao hawana karo ama sare za shule kuhakikisha wanaripoti shuleni kuanzia hapo kesho siku ya Ijumaa....
Watu saba wanazuiliwa na maafisa wa polisi katika eneo la Rabai kaunti ya Kilifi baada ya kukamatwa kwa madai ya kufanya uchawi katika kijiji cha Buni,...
Mbunge wa Kilifi Kaskazini Owen Baya amesema kunahaja ya serikali kuu kuhusisha maoni ya umma katika suala la raslimali za madini kabla ya kuruhusu waekezaji kuanza...
Waziri wa elimu nchini Migos Ogamba ameonya wakuu wa shule wanaolazimisha wazazi kununua sare katika maduka maalum. Waziri Ogamba alisema hali hiyo inakiuka kaununi zilizowekwa na...