Idara ya usalama katika eneo la Magarini kaunti ya Kilifi imeanzisha uchunguzi kuhusu baadhi ya nyumba za ibada zinazohushwa na mafunzo ya Imani potovu katika eneo...
Viongozi wa kidini katika eneo bunge la Kinango wamejitokeza na kuishinkiza serikali ya kaunti ya Kwale kuweka mikakati bora ya kukabiliana na kiangazi kikali katika eneo...
Rais William Ruto amewaagiza maafisa wa usalama kuhakikisha maeneo ya makanisa na sehemu zengine ya kuabudu zinapewa ulinzi wa hali juu ili kuhakikisha waumini wanashiriki ibada...
Baraza la magavana, bodi ya huduma za umma kaunti ya Mombasa pamoja na Muungano wa maafisa wa Kliniki nchini (KUCO), wametia saini mkataba wa makubaliano ya...
Tume huru ya uchaguzi na mipaka nchini IEBC, imefichua kwamba inakabiliwa na upungufu wa fedha wa takriban shilingi bilioni 22. Mwenyekiti wa IEBC, Erastus Ethekon, alisema...