Rais William Ruto amemteua mke wa Hayati Raila Odinga, Mama Ida Odinga kuwa Balozi na Mwakilishi wa kudumu wa Kenya katika Shirika la Mazingira la Umoja...
Mbunge wa Kiharu Ndindi Nyoro amesisitiza umuhimu wa serikali kuweka mikakati thabiti itakayohakikisha elimu katika shule za upili za kutwa inatolewa bila malipo. Akizungumza jijini Mombasa,...
Wanafunzi wa gredi ya kumi wanatarajiwa kuanza rasmi masomo yao wiki ijayo kufuatia kusambazwa kwa vitabu kwa shule za sekondari ya juu kote nchini. Taasisi ya...
Familia za wakenya waliokwama nchini Urusi zinaendelea kulilia serikali kuingilia kati kuwarejeshwa jamaa zao nyumbani. Baadhi ya wakenya hao wanaripotiwa kuzuiliwa kama wafungwa wa vita na...
Serikali ya Kenya na Rwanda zimesaini mkataba wa makubaliano (MoU) unaolenga kuanza rasmi utekelezaji wa ofisi ya uhusiano ya halmashauri ya bandari nchini (KPA) jijini Kigali,...