Klabu ya Tottenham Hotspur imemfuta kazi kocha Thomas Frank miezi nane tu baada ya kumteua kuwa kocha mkuu. Kwenye taarifa iliyotolewa leo Jumatano Feb 11 ilieleza...
Mchezaji kikosi cha Morans David Nyangige ni miongoni mwa wachezaji walioshtua wengi baada ya kujumuishwa katika kikosi cha Shujaa kilichotangazwa Jumatatu na kocha Kevin ‘Bling’ Wambua,...
Baraza la Magavana nchini limetishia kususia vikao vya kamati ya bunge la Seneti kuhusu hesabu za umma, likidai kwamba kumekuwa na vitendo vya uladhalilishaji, ulaghai wa...
Mahakama ya Kilifi imeagiza kuzuiliwa rumande mshukiwa wa mauaji ya Ruth Ochieng’ mwenye umri wa miaka 60 kutoka kaunti ya Kisumu baada ya mshukiwa Evans Otieno...
Waziri wa Fedha nchini John Mbadi amesema serikali inalenga kuwaondolea ushuru wa PAYE wakenya wanaopata mshahara wa chini ya shilingi elfu 30 kwa mwezi huku wale...