Winga machachari wa taifa la Uingereza Bukayo Saka ametia wino mkataba mpya wa miaka mitano na klabu yake ya Arsenal ya London Kaskazini. Mkataba huo mpya...
Mwakilishi wa Soka la Wanawake Kaunti ya Kilifi, Elizabeth Santa Hinzano, amesema kuwa mwaka jana shirikisho lilijitahidi kuweka mikakati ya kuanzisha Ligi ya Wanawake ya Kaunti. Hinzano...
Waumini wa Kanisa Katoliki pamoja na waumini wengine wa dini ya kikristo wameungana kote ulimwenguni kuadhimisha ibada ya Misa ya Jumatano ya majivu ishara ya kuanza...
Rais William Ruto na Gavana wa kaunti ya Nairobi Johnson Sakaja wametia saini makubaliano ya kihistoria ya ushirikiano kwa ajili ya kuboresha jiji la Nairobi. Mkataba...
Serikali ya kaunti ya Kilifi imefutilia mbali baadhi ya miradi iliyokwama ambayo ilikuwa imekabidhiwa Wanakandarasi na kushindwa kuitekeleza. Hii ni baada ya Mkaguzi mkuu wa hesabu...