Mabingwa watetezi Bandari Youth walithibitisha ubabe wao katika toleo la Pwani la mashindano ya Betika BingwaFest baada ya kuichapa SS Assad mabao 3–0 katika fainali ya...
Tume ya maadili na kupambana na ufisadi nchini EACC imefanikiwa kurejesha mali ya umma yenye thamani ya shilingi milioni 281 katika kaunti ya Mombasa. Katika taarifa...
Naibu Kinara wa Chama cha Jubilee Dkt Fred Matiangi ameitaka serikali kuwajibika kikamilifu kwa kuhakikisha taifa linazingatia usalama wa wananchi. Matiangi alisema jinsi hali ilivyo kwa...
Bingwa wa taifa wa mbio za mita 10,000, Gladys Kwamboka, aling’ara katika mashindano ya Betika BingwaFest kanda ya Pwani yaliyofanyika katika Chuo cha Ualimu cha Shanzu,...
Waendeshaji mashtaka nchini Morocco Alhamisi waliomba mahakama kuwahukumu kifungo cha hadi miaka miwili jela mashabiki 18 wa soka kutoka Senegal walioko rumande mjini Rabat tangu fainali...