Wakulima wa matunda aina ya nanasi katika eneo bunge la Magarini kaunti ya Kilifi wanaitaka serikali kuwatafutia soko ili kuuza bidhaa zao ambazo zinaendelea kuharibika msimu...
Shirika la kutetea haki za binadamu la Vocal Africa limeeleza wasiwasi wake kuhusu kukamatwa na kuendelea kuzuiliwa kwa Mwabili Mwagodi, katika kituo cha polisi cha Bandari kaunti ya...
Kinara wa Chama cha Democratic Party (DP) Justine Muturi ameibua wasiwasi kuhusu uwezekano wa kuhitilafiana na sajili ya wapiga kura kufuatia makubaliano kati ya tume huru...
Safari ya Kenya katika duru ya Nairobi ya mashindano ya HSBC SVNS 2 ilikwama Jumapili jioni baada ya Shujaa kupokea kichapo cha mabao 21–5 kutoka kwa...
Ligi Kuu ya Kaunti ya Kilifi chini ya Shirikisho la Soka nchini (FKF) inatarajiwa kuanza rasmi tarehe 21 Machi mwaka huu. Uamuzi huo ulifikiwa katika mkutano...