Rais William Ruto amewateua watu 15 kuwa Majaji wa Mahakama ya rufaa baada ya kuhojiwa na kupigwa msasa na Makamishna wa Tume ya huduma ya Mahakama...
Idara ya usalama nchini imesema imeimarisha doria na operesheni za kiusalama zinaendelea katika kaunti ya Garissa kufuatia shambulio la kigaidi lilitekelezwa katika eneo la Hulugho na...
Waziri wa Elimu nchini Julius Migos Ogamba amewaonya Walimu wakuu dhidi ya kuwarudisha nyumbani wanafunzi ambao hawana karo ama sare za shule, akisema watakaopatikana watachukuliwa hatua...
Kinara wa Chama cha DCP Rigathi Gachagua amejitokeza na kudai kwamba serikali iko na njama ya kumuangamiza licha ya Rais William Ruto pamoja na wabunge kufualu...
Waziri wa Usalama wa ndani Kipchumba Murkomen amelaani vikali tukio la kuvurugwa kwa ibada ya Jumapili katika Kanisa la ACK, Witima eneo la Othaya, kaunti ya...