Msanii wa bango, Bavyombo, amezua gumzo kubwa kwenye mitandao ya kijamii baada ya kutangaza marufuku ya matumizi ya kauli maarufu “Mama Amina” ndani ya bendi yake...
Maafisa wa usalama mjini Malindi kaunti ya Kilifi wamewakamata washukiwa 18 kwenye msako uliolenga magenge ya kihalifu yaliyokuwa yakiwahangaisha wakaazi wa eneo hilo. Oparesheni hiyo ilifanyika...
Mamlaka ya Kitaifa ya Usafiri na Usalama barabarani, NTSA, imetoa tahadhari ya kiusalama ikiwataka madereva na watumiaji wengine wa barabara kuwa waangalifu kutokana na mvua kubwa...
Toleo la tatu la Mashindano ya Esse Akida lilifikia tamati Jumapili tarehe 28 Desemba 2025, huku Morning Stars na Kilifi Elite wakitawazwa mabingwa. Mashindano hayo yaliyoandaliwa...
Waziri wa usalama wa ndani Kipchumba Murkomen amewataka machifu na manaibu wao kuongeza juhudi katika vita dhidi ya pombe haramu na matumizi ya dawa za kulevya. Waziri...