Tume ya kitaifa ya kutetea haki za kibindamu nchini KNCHR imesema zaidi ya watu 57 walipitia mateso na hata maafa katika hali tatanishi, mwaka huu wa...
Wanaharakati wa kutetea haki za kibinadamu nchini Kenya yameitaka Serikali ya Tanzania kusikiliza matakwa ya wananchi wake badala ya kuwatishia kukabiliana nao kikamilifu wakati wakipanga kufanya...
Chama cha UDA kimetangaza kumuunga mkono aliyekuwa Spika wa bunge la kaunti ya Kilifi Jimmy Kahindi, kugombea wadhfa wa ugavana wa kaunti ya Kilifi katika uchaguzi...
Rais wa chama cha Karate nchini JKA wakili George ameweza kutambua ubora ulioonyeshwa na timu kutoka Kilifi zinazoshiriki kwenye Toleo la Pili la Mashindano ya Afrika...
Rais Donald Trump bado anaonekana kutokuwa na uhakika kwamba aite mchezo huo soccer au football. Lakini lengo lake huwa sahihi zaidi anapotumia mchezo unaopendwa zaidi duniani...