Mkufunzi wa kilabu ya Celtic Brendan Rodgers amejiuzulu kama kocha wa kilabu hiyo hatua iliyojiri baada ya tuhuma kutoka kwa mwenyehisa mkuu Dermot Desmond aliyemshutumu kwa...
Watu 12 wanahofiwa kufariki baada ya ndege ndogo ya utalii kuanguka katika eneo la Tsimba gatuzi dogo la Matuga kaunti ya Kwale. Ndege hiyo ilikuwa imetokea...
Kamati kuu ya Chama cha ODM imemuidhinisha Seneta Dkt Oburu Oginga kuwa Kaimu Kinara wa Chama hicho. Katibu mkuu wa ODM Edwin Sifuna, alisoma taarifa ya...
Tume ya uchaguzi nchini Cameroon imemtangaza Rais Paul Biya mwenye umri wa miaka 92 kama mshindi wa uchaguzi mkuu wa urais uliyofanyika Oktaba 12 mwaka huu....
Maneno ya Lamine Yamal kabla ya El Clásico yalizua gumzo kubwa zaidi kuliko kiwango chake cha chini uwanjani wakati Barcelona ikipoteza, na mchezaji huyo mwenye umri...