Mshikilizi wa rekodi ya dunia ya mbio za marathon kwa wanawake, Ruth Chepngetich, amepigwa marufuku kwa muda wa miaka mitatu baada ya kukiri makosa ya kukiuka...
Kama umewahi kushughulika na stakabadhi za serikali nchini Kenya, bila shaka unajua jinsi safari hiyo ilivyo ndefu — foleni zisizoisha, mahitaji yasiyoeleweka, na safari zisizo na...
Mahakama ya Kilifi imemhukumu kifungo cha mwaka mmoja gerezani mwanaume wa umri wa miaka 30 kwa kosa la kuvamia na kumjeruhi mwenzake. Akitoa hukumu hiyo, Hakimu...
Mahakama Kuu mjini Kakamega imetupilia mbali ombi lililowasilishwa na mlinda lango wa zamani wa Harambee Stars, Patrick Matasi, hatua ambayo imeiruhusu rasmi Shirikisho la Soka la...
Timu ya taifa ya Kenya ya Para Air Badminton iliibuka na ushindi mnono dhidi ya Uturuki A kwa alama 3–0 katika kipengele cha Mixed Triples na...