Vita vya Iran vinaweza kuisha hivi karibuni au kuendelea kwa miezi kadhaa licha ya tamko la rais wa Marekani Donald Trump kuhusu mpango ya kumaliza vita...
Rais Donald Trump amesema kwamba Marekani itaondoka Iran hivi karibuni na hatua za kijeshi za nchi hiyo zitakomeshwa ndani ya wiki mbili au tatu zijazo. Rais...
Bunge la Israel limepitisha sheria mpya inayotoa adhabu ya kifo kwa Wapalestina watakaopatikana na hatia ya mashambulizi ya mauaji dhidi ya Waisrael. Sheria hiyo ilipitishwa kwa...
Iran inatarajiwa kumtangaza kiongozi mkuu mpya atakayechukua nafasi ya Ayatollah Ali Khamenei aliyeuawa wiki moja iliyopita kufuatia mashambulizi ya Marekani na Israel. Mmoja wa wajumbe wa...
Waziri wa mambo ya nje wa taifa la China Wang Yi ametahadharisha kuhusu hatari ya China kutokuelewana na Marekani, akisema hatua hiyo itapelekea kushughudiwa kwa migogoro...
Kwa siku ya tano mfululizo Jeshi la Israel kwa ushirikiano na Marekani, limefanya mashambulio mapya katika ardhi ya Iran dhidi ya kile imekitaja kuwa kuangamiza kabisa...
Familia moja inatafuta hifadhi ya kisiasa nje ya nchi kufuatia kukamatwa na kufunguliwa mashtaka ya uhaini kwa baadhi ya wanafamilia wake nchini Tanzania, baada ya machafuko...